Maandalizi Nyumbani kwa Kina Mangwea
PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO ALBERT MANGWEA ATAZIKWA BAADA YA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea.
Masufuliya ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro.
Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa padogo.
No comments:
Post a Comment