Imekuwa nikila siku sasa Mbunge huyu kusumbua mitandao ya Kijamii na Media za Bongo na Nje pia kwasema maneno yanayosisimua watu wengi sasa leo kaanza kwa Maneno haya....!!
"Wasomi
wa kitanzania leo hii tuna katabia ka kuamini mambo haraka haraka bila
hata kuyapa tafakuri tunduizi. Tusipobadilika tutaliangamiza taifa." FB
"Katika mikono ya Mungu aliye juu mnyonge habaki mpweke. Mbele ya jicho lake, kamwe hatokuwa mashakani!" Twitter
"Kuna
watu wanadhani na kuamini kuwa ukiwa kiongozi, ama tajiri, ama mtu
mwenye mafanikio makubwa sana maishani basi hauna historia yako. Ama ni
mtu mwenye raha muda wote. Hii hupelekea watu wengi kwenye jamii
kuwachukia, kuwasingizia na kuwaonea watu hawa muhimu, maarufu na
mashuhuri kwenye umma. Wengi huwachukulia km wanapendelewa, ni waovu na
wanaponda sana maisha. Some proclaimed strong men are never even strong"! GB
No comments:
Post a Comment