Ni malalamiko mengi sasa kwa Precision air hii naweza kuithibitisha kwani ilishanitokea pia mimi kuchelewa kuondoka uwanjani.
Unaweza ona Malalamiko ya Fid Q hapa ni nilimuuliza swali kabla sijapost ktk Blog hapa.
- BREAKING NEWS: tumeshushwa na kuambiwa ndege yetu bado.. So abiria woote tumeombwa turudi tena waiting room.. SMH pic.twitter.com/7aHOKUzzVV
-
- Wa Mwalimu.. Precision “
@PeterDafi:@FidQ Uwanja gani na Ndege gani hiyo?”
- BREAKING NEWS: tumeshushwa na kuambiwa ndege yetu bado.. So abiria woote tumeombwa turudi tena waiting room.. SMH pic.twitter.com/7aHOKUzzVV
-
Ooh.. Finally, baada ya kudelay kwa lisaa limoja.. Sasa ipo tayari kuondoka
@Chahali -
Kati ya makosa ambayo sina mpango wa kuyarudia..Ni pamoja na kusafiri kwa kutumia chombo cha shirika hili! hawajali muda kabisa
@Chahali -
No comments:
Post a Comment