Mapunda (kushoto) akiwasikiliza waasisi hao, wa pili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM, Mfaume Ally Kizigo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sixtus Mapunda, leo
amekutana na wazee waasisi wa Jumuiya hiyo, Ofisini kwake, Makao Makuu
ya UVCCM, Barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam, na kufanya
mazungumzo ya kina na waasisi hao.
No comments:
Post a Comment