Pages

Saturday, September 14, 2013

CCM ni chama cha wananchi wa hali ya chini kabisaa.. Ona hapa.

 Hapa naona wana CCM wanakula Vitumbua kwa Mama muuza  tena wanaonekana wananjaa sana kwani wanafakamia Dumu lote na kuhakikisha Dumu LOTE LINAKWISHA, hawa NAPE, ASEMNGA na wengine Kibao.
KINANA na NAPE jana huko Kanda ya ziwa wakiingia uwanjani kwa mkutano ili kuwahabarisha wananchi na kuzindua miradi Kibao hii ni Jitihata ya Chama tawala kwa wananchi wake wa hali ya chini kabisa.

No comments:

Post a Comment