Waziri
wa Mambo ya Nje wa Marekani Bi.HILLARY CLINTON ametoka Hospitali Mjini
New York ambako alikuwa anatibiwa maradhi ya Mgando wa Damu karibu na
Ubongo.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema Waziri CLINTON anaendelea vizuri na Madaktari wanatarajia kuwa atapona kabisa.
No comments:
Post a Comment