Pages

Friday, October 18, 2013

TRL Kuanza kazi zake

Shirika la Reli Nchini-TRL- limesema usafiri wa Treni kwa Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao ulisimama kwa muda kufuatia hitilafu iliyojitokeza katika Kichwa cha Treni hiyo unatarajiwa kurejea.
Taarifa ya hitlafu hiyo imetolewa na Afisa Uhusiano wa TRL Ndugu MIDLADJY MAEZ.

No comments:

Post a Comment