Pages

Sunday, October 20, 2013

Mh. Bernald Membe akiwa Live Clouds fm


Mh. Bernald Membe Yuko Live Clouds Fm alizungumzia Habari za  International Criminal Court (ICC)Ikiwa inasemekana kuwa Mahakama hii inawasakama viongozi wa Africa tu, na ikitizama kwa kina ni viongozi wa Africa tu ndo wanafikishwa huko kwa kesi zao tena wakiwa bado wako mahakamani,
Nchi za Ulaya hazihusishwi hata kidogo na wanaheshimu Vuongozi walioko Madarakani, Kwani mpaka leo hii ni Viongozi kama wa 3 km sio wawili tu ndo wameshawahi kufikiswa Huko ICC .
Lakini Amezungumzia habari za East Africa Community walivyotutenga kwa Masirahi yao kwani Tanzania tumewagomea kufanya yale wanayoyataka na hii mimi naunga mkono pia haya.

No comments:

Post a Comment