Pages

Monday, December 16, 2013

AJALI YATOKEA DARAJA LA MLALAKUWA, MIKOCHENI JIJINI DAR

BREAKING NEWZZZZZZ!!!: AJALI YATOKEA DARAJA LA MLALAKUWA, MIKOCHENI JIJINI DAR



Ajali imetokea leo asubuhi kawe Darajani Dar ambapo gari hiyo Inayoonekana kuharibika vibaya ilitumbukia katika mto huo na kusababisha kifo cha Mtu mmoja ambaye anaonekana akielea juu ya maji.

No comments:

Post a Comment