Pages

Monday, December 16, 2013

ASAA SIMBA,MOHAMED BAWAZIR WAONGEA NA WANA CCM KATA YA JANGWANI KUIMARISHA CHAMA

ASAA SIMBA,MOHAMED BAWAZIR WAONGEA NA WANA CCM KATA YA JANGWANI KUIMARISHA CHAMA

Mwenyekiti wa CCM  Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir katikati akizungumza wakati wa kufungua kikao cha kujadili kelo mbalimbali zinazowakabili katika kata hiyo kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Ilala Asaa Simba ambaye pia ni Diwani wa Vingunguti na kulia  ni katibu wa kata ya jangwani, Majala Balawa
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Asaa Simba kushoto akizungumza na Mwenyekiti wa CCM  Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Asaa Simba kushoto akizungumza na Mwenyekiti wa CCM  Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir wakingia katika ukumbi wa mkutano
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Asaa Simba kushoto akiongea na baadhi ya wanachama wa CCM wa kata ya Jangwani wakati alipotembelea kwa ajili ya kujadili kelo mbalimbali zinazo ikabili kata hiyo kulia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir

Baadhi ya wanachama wa CCM wakisikiliza mada mbalimbali katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment