Pages

Tuesday, December 17, 2013

KING CLASS MAWE,IDDY MNYEKE WAJIFUA KAMBI YA ILALA KWA MCHEZO WA DESEMBA 31


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Shabani Kaoneka wakazi wa mazoezi yao yanayoendelea katika kambi ya ilala King Class Mawe anajiandaa kwa ajili ya mpambano wake na Mohamed Kashinde utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa msasani klabu Dar es salaam

Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  wakati wa mazoezi yao jana mambondia hawo wanajiandaa na mchezo utakaofanyika Desemba 31 Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na King Class Mawe atapambana na Mohamed Kashinde katika ukumbi wa Msasani Klabu
BondiaShabana Kaoneka kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King CLASS MAWE'  wakati wa mazoezi yanayo endelea katika kamba ya ilala amana ccm king class mawe anajiandaa na mpambano yake na Mohamed Kashinde utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani Klabu Dar es salaam 
Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  wakati wa mazoezi yao jana mambondia hawo wanajiandaa na mchezo utakaofanyika Desemba 31 Mnyeke atacheza na Cosmas Cheka na King Class Mawe atapambana na Mohamed Kashinde katika ukumbi wa Msasani Klabu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment