Mzee Mtei amuangukia Zitto Kabwe, adai ni mwanasiasa jasiri
Katika hatua isiyoyakwaida baada ya kuona Zitto hatetereki na fitina za
Kila aina anazofanyiwa ndani ya Chadema ili kumkatisha tamaa kijana huyo
mwenye upeo wa hali ya juu wa kusoma Nyakati,Mzee Edwin Mtei ambaye ni
Mwasisi na mwenye sauti kuu ndani ya chama hicho ameamua kumuangukia
Zitto kabwe na kukiri Zitto ni Mwamba,Zitto ni Mwanasiasa jasiri na
Mbunifu wa siasa zake,Zitto ni kijana mwenye uwezo mkubwa wa kuhimiri
CATRINA yoyote ile katika siasa zake.
Mzee Mtei amefikia hatua hiyo baada ya siku za karibuni kusikika akisema
bado Chadema inamhitaji Zitto kabwe,Bado Zitto ananafasi ndani ya
Chadema kwa sababu anamchango Mkubwa ndani ya chama hicho.
Chanzo:Gazeti la Tazama,17/12/2013
No comments:
Post a Comment