Rais wa TFF, Jamal Malinzi ameutolea ufafanuzi mgogoro wa Simba
unaoendelea hivi sasa baada ya mwenyekiti wa Simba Ismail Aden rage
kupinga agizo la kuitisha mkutano wa wanachama ndani ya siku 14 ambazo
zinaisha Desemba 6. Malinzi ametaja hatua zitakazochukuliwa pale siku
hizo zitakapoisha. Tazama video hii kufahamu zaidi:
No comments:
Post a Comment