MAUWAJI MABAYA YA WATOTO WA FAMILIA YA CCM MBEYA:-
'Watu wasiofahamika wawaua watoto wawili wa Diwani wa CCM'...
Mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.
Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.
Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi
sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,
"Nashangazwa sana na Mauwaji ya Viongozi wa CCM na Familia zao hii
inaonesha wazi kuna watu wanachokea na kushabikia unyama huu Mbaya na
uliokithili Tanzania, Kumekuwa na Maneno yakubambikiza sana ktk hili
oohh walizurumu oohh wamefanya kile na hiki lakini ukweli nikwamba
hatupaswi kuhukumu Hata kidodo."
Na hao wa Tunduma kama
walikuwa na hasira na Diwani aliyewadhulumu wangemshambulia yeye na
kumdhuru lakini si kuvizia baba na mama hawapo kisha wanamchinja mtoto
mdogo wa umri wa miaka 6 na kumnyonga kwa waya msichana wa kazi...
Kimsingi aliyechinjwa ni mtoto mdogo wa miaka 6 na aliyenyongwa ni msichana wa kazi wa Diwani huyo...
Wapumzike kwa Amani... Amen
No comments:
Post a Comment