.
NAFASI ZA KUSOMA CANADA - THE MASTERCARD FOUNDATION
SCHOLARS PROGRAM: Application deadline, 06 January 2014. Masters in
Business, Forestry and Land and Food Systems: website - www.internationalscholars.ubc.ca/mastercardfoundation.com Vijana Tujitokeze. Hata schorships za undergraduates zipo.
Vijana wakitanzania tunaalikwa kuchangamkia Fulsa hii ya masomo kwa
Undergraduates na Masters , Hivo Vijana tuchangamkie Fulsa hii kwani
tunatakiwa kupata wasomi wengi zaidi ili kulisukuma Gurudumu la Taifa
letu hili kufikia pale tunapopataka
http://internationalscholars.ubc.ca/
No comments:
Post a Comment