Heche
katika mdahalo Chanel 10.
Makonda kasema kweli kuwa mawaziri waliojiuzulu ktk operesheni tokomeza
wemetufundisha wanasiasa kujifunza KUWAJIBIKA inapotokea matatizo
kwenye shughuli au wizara tunazozisimamia.
Kisha akaendelea kwa
kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba
ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!
Naomba kukukumbusha haya...
1. M4C ya Morogoro aliuwawa kijana muuza magazeti mwenyeji wa Muheza
mkoani Tanga, alikuwa anaitwa Ally Zona. katika maandamano ya Chadema.
2. Mwandishi wa habari Daud Mwangosi aliuwawa ktk M4C ufunguzi wa tawi na mkutano kijiji cha Nyololo mkoani Iringa.
Kifo cha Mwangosi kisingetokea kama Viongozi wa Chadema wangefuata
utaratibu wa kuandaa mikutano mapema na kuwasiliana na Viongozi wa
Iringa na Nyororo.
NUKUU “Uongozi wa Chadema unaweza kutoka
makao makuu na kuja mahali bila kibali wala taarifa kwa viongozi wa
maeneo husika na kuanza kutafuta kibali kuitisha mikutano huo si
utaratibu,unasababisha kuhatarisha amani na ndiyo yaliyotokea
Nyororo,mimi nilishalifunguwa lile tawi alipouawa Mwangosi miezi miwili
mitatu iliyopita ,sasa akina Dkt.Slaa walikuja kufungua nini tena,na
kibaya zaidi hata sisi Vingozi wa Iringa hatukuwa na taarifa,nasema
Chadema wanahusika kwa asilimia 50,kifo cha Mwangosi,”alisema Thomas
Nyimbo Aliekuwa Mlezi wa CHADEMA.
3. Mauwaji ya soweto Arusha kwa kulipuka Bomu kisha kuleta Maafa makubwa kwa waliokuwa ktk Mkutano.
4. Mauwaji Igunga ya Ndugu Mbwana Masoud aliyeuwawa Igunga ktk
Uchaguzi. na Kumwagiwa Tindikali kwa Kijana Musa Tesha, mfuasi wa CCM,
aliyemwagiwa tindikali na Vijana wa CDM.
5.Tulishuhudia CDM Sumbawanga iliyovyoleta athari kwa watu kuchoma moto matrekta bila sababu za msingi,
nchi hii ina watanzania zaidi ya Mil.40 lakini wanasiasa hawafikii hata
asilimia 10,kwa hiyo tuangalie maslahi ya watanzania na siyo ya watu
wachache,ndani ya vyama siyo CCM wala Chadema
6.Tulishuhudia Fujo Mwanza Mjini ktk Uchaguzi Mkuu pale mpaka Mh.
Anthony Diallo aliona Bora aachie ngazi ili CDM watangazwe kuwa washindi
kwani Walivunja Majengo, Umiza watu na Hata kufa kwa kung'ang'ania
Madaraka tu.
Swali CHADEMA kwanini wanalazimisha kushinda kwa Mbinu za Mauwaji na Kuumiza watanzania?
John HECHE Ameudanganya umma juu ya mawaziri waliojiuzuru ni hoja ya
upinzani, eti Wapinzani ndo wamewatoa mawaziri wale. MAKONDA apigilia
msumari hoja hiyo na kusema ni hoja na sera ya ccm kuwawajibisha
watendaji wasiotekeleza majukumu yao.
Pole sana MWAL HECHE kwani kila siku Unabuluzwa na Paul Makonda ktk Mijadara hii na haukomi tu kwani unatiwa aibu kwa Hoja Thabiti za UVCCM na CCM kupitia Kijana Mahiri Makonda.
UONGO
Kusema uongo ni dhambi sana na vitabu vya Dini hata Sheria zinakataza!
sasa nashangaa hawa Ndugu zetu Chadema wanapenda sana kusema Uongo wa
wazi kabisa, HECHE kasema uongo mwingi sana na sijui kaiga uongo wa
viongozi wake wa juu kama Babu Slaa na Mbowe manake wale wamefuzu
kudanganya Umma.
CCM
CCM na serikali kazi yake ni Moja tu
kufanya kazi kwa Wananchi na kuwawekea mazingira safi, sasa ktk Hili
Mawaziri wamewajibika kutokana na Katiba za uwajibikaji, kwamba tatizo
limetoke ktk Wizara basi waziri husika awajibike hata kama hakufanya
yeye Kosa lakini watendaji wake wamefanya yeye kama kiongozi anabeba
dhamana yao, Nando serikali sikivu ya CCM inafanya ili kuhakikisha Mambo
yote yanakwenda sawa.
M4C, kampeni inayoendeshwa na CHADEMA Tanzania, Mauwaji mabaya ni huko 1. ARUSHA 2. MBEYA 3. MOROGORO 4. IRINGA.
NI MUDA SASA WAWAJIBILE DK. SLAA NA MBOWE KWA MAUWAJI HAYO YA RAIA
WASIO NA HATIA KWA SABABU YA TAMAA ZAO ZA MADARAKA NA KUVINJA SHERIA ZA
NCHI.
Heche
katika mdahalo Chanel 10.
Makonda kasema kweli kuwa mawaziri waliojiuzulu ktk operesheni tokomeza wemetufundisha wanasiasa kujifunza KUWAJIBIKA inapotokea matatizo kwenye shughuli au wizara tunazozisimamia.
Kisha akaendelea kwa kutoa wito kwa Dr. Slaa(Mzee wa Gongo) na Freeman Mbowe(Mzee wa Nyumba ndogo) wawajibike kwa mauaji yaliyofanyika chini ya OP M4C!
Naomba kukukumbusha haya...
1. M4C ya Morogoro aliuwawa kijana muuza magazeti mwenyeji wa Muheza mkoani Tanga, alikuwa anaitwa Ally Zona. katika maandamano ya Chadema.
2. Mwandishi wa habari Daud Mwangosi aliuwawa ktk M4C ufunguzi wa tawi na mkutano kijiji cha Nyololo mkoani Iringa.
Kifo cha Mwangosi kisingetokea kama Viongozi wa Chadema wangefuata utaratibu wa kuandaa mikutano mapema na kuwasiliana na Viongozi wa Iringa na Nyororo.
NUKUU “Uongozi wa Chadema unaweza kutoka makao makuu na kuja mahali bila kibali wala taarifa kwa viongozi wa maeneo husika na kuanza kutafuta kibali kuitisha mikutano huo si utaratibu,unasababisha kuhatarisha amani na ndiyo yaliyotokea Nyororo,mimi nilishalifunguwa lile tawi alipouawa Mwangosi miezi miwili mitatu iliyopita ,sasa akina Dkt.Slaa walikuja kufungua nini tena,na kibaya zaidi hata sisi Vingozi wa Iringa hatukuwa na taarifa,nasema Chadema wanahusika kwa asilimia 50,kifo cha Mwangosi,”alisema Thomas Nyimbo Aliekuwa Mlezi wa CHADEMA.
3. Mauwaji ya soweto Arusha kwa kulipuka Bomu kisha kuleta Maafa makubwa kwa waliokuwa ktk Mkutano.
4. Mauwaji Igunga ya Ndugu Mbwana Masoud aliyeuwawa Igunga ktk Uchaguzi. na Kumwagiwa Tindikali kwa Kijana Musa Tesha, mfuasi wa CCM, aliyemwagiwa tindikali na Vijana wa CDM.
5.Tulishuhudia CDM Sumbawanga iliyovyoleta athari kwa watu kuchoma moto matrekta bila sababu za msingi,
nchi hii ina watanzania zaidi ya Mil.40 lakini wanasiasa hawafikii hata asilimia 10,kwa hiyo tuangalie maslahi ya watanzania na siyo ya watu wachache,ndani ya vyama siyo CCM wala Chadema
6.Tulishuhudia Fujo Mwanza Mjini ktk Uchaguzi Mkuu pale mpaka Mh. Anthony Diallo aliona Bora aachie ngazi ili CDM watangazwe kuwa washindi kwani Walivunja Majengo, Umiza watu na Hata kufa kwa kung'ang'ania Madaraka tu.
Swali CHADEMA kwanini wanalazimisha kushinda kwa Mbinu za Mauwaji na Kuumiza watanzania?
John HECHE Ameudanganya umma juu ya mawaziri waliojiuzuru ni hoja ya upinzani, eti Wapinzani ndo wamewatoa mawaziri wale. MAKONDA apigilia msumari hoja hiyo na kusema ni hoja na sera ya ccm kuwawajibisha watendaji wasiotekeleza majukumu yao.
Pole sana MWAL HECHE kwani kila siku Unabuluzwa na Paul Makonda ktk Mijadara hii na haukomi tu kwani unatiwa aibu kwa Hoja Thabiti za UVCCM na CCM kupitia Kijana Mahiri Makonda.
UONGO
Kusema uongo ni dhambi sana na vitabu vya Dini hata Sheria zinakataza! sasa nashangaa hawa Ndugu zetu Chadema wanapenda sana kusema Uongo wa wazi kabisa, HECHE kasema uongo mwingi sana na sijui kaiga uongo wa viongozi wake wa juu kama Babu Slaa na Mbowe manake wale wamefuzu kudanganya Umma.
CCM
CCM na serikali kazi yake ni Moja tu kufanya kazi kwa Wananchi na kuwawekea mazingira safi, sasa ktk Hili Mawaziri wamewajibika kutokana na Katiba za uwajibikaji, kwamba tatizo limetoke ktk Wizara basi waziri husika awajibike hata kama hakufanya yeye Kosa lakini watendaji wake wamefanya yeye kama kiongozi anabeba dhamana yao, Nando serikali sikivu ya CCM inafanya ili kuhakikisha Mambo yote yanakwenda sawa.
M4C, kampeni inayoendeshwa na CHADEMA Tanzania, Mauwaji mabaya ni huko 1. ARUSHA 2. MBEYA 3. MOROGORO 4. IRINGA.
NI MUDA SASA WAWAJIBILE DK. SLAA NA MBOWE KWA MAUWAJI HAYO YA RAIA WASIO NA HATIA KWA SABABU YA TAMAA ZAO ZA MADARAKA NA KUVINJA SHERIA ZA NCHI.
No comments:
Post a Comment