Hapa ndipo atakapozikwa Dk, William Mgimwa kijijini Magunga -
Angalia hapa picha hii ndio Sehemu atakapozikwa marehemu dk William Mgimwa kijijini Magunga -
Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha
viongozi wa CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa katika kijiji
cha Magunga kata ya Maboga jimbo la Kalenga.
No comments:
Post a Comment