Pages

Monday, February 3, 2014

PICHA ZAIDI MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM TABORA

 









 




 
MJUMBE WA HALAMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA TABORA NDG PETRONELA KIWELE AKICHIMBA MTARO KWENYE MAADHIMISHO YA CCM KUTIMIZA MIAKA 37

 MNEC NDG JOHN MCHELE AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA CCM KWA SHUGHUKLI ZA KIJAMII
 
KATIBU WA UWT WILAYA YA TABORA NDG RODA MADAHA


 
POKEENI ZAWADI HIII.MWENYEKITI WA UWT MKOA WA TABORA NDG MWANNE MCHEMBA AKIKABIDHI ZAWADI KWA WATOTO WALIOKO KWENYEKITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA IGAMBILO MCHELE



KAIMU KATIBU WA CCM MKOA NA KATIBU WA CCM WILAYA YA TABORA NDG BAKARI LWOSSA AKIFYEKA NYASI KATIKA MADHIMISHO YA CCM 37

No comments:

Post a Comment