BUNGE LA KATIBA
MWENYEKITI/SPIKA
MCHAGUE
SAMUEL .J.SITTA (Mb)
MHE.SAMUEL J SITTA
(Mb).
SPIKA WA BUNGE LA
TISA;2005-2010
JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA
DIRA;
“BUNGE la Katiba lenye
mjadala wa kushindanisha hoja kwa hoja, kwa maslahi ya taifa, ili kuwaletea
watanzania ndani ya muda KATIBA
maridhawa inayokidhi matarajio ya wengi na inayojenga matumaini yao ya utawala
bora na maendeleo endelevu kwa wote”
WASIFU WA SAMUEL
J.SITTA (Mb)
1. ELIMU
·
Shahada
ya Sheria – LLB(Hons) UDSM 1971
·
Stashahada -Advanced DIPL in Management IMEDE
-USWISI 1976
2. UONGOZI
i.
Ubunge
(Urambo Mashariki) Miaka 29;1974-1995,2005 hadi sasa.
ii.
Waziri
wa wizara ya Ujenzi
§ Ustawishaji Makao makuu na Katiba na
Sheria 1978-1995.
§ Waziri Ushirikiano wa Africa
Mashariki; 2010 hadi sasa
iii.
Mkuu
wa Mkoa; 1987- 1993, Iringa na Kilimanjaro.
3. MAFANIKIO.
a. – Ujenzi wa Salender Bridge (1980).
_
Uwanja wa Ndege wa J.K.Nyerere, Dar es salaam (1981).
_
Ujenzi wa Daraja la Kirumi – Mara (1982).
_
Ujenzi wa Barabara ya Morogoro – Dodoma (1983).
_
Ujenzi wa Barabara ya Makambako – Songea (1984).
b. – Sheria zilizoanzisha mashirika ya Reli,
Bandari, Ndege, baada ya Jumuiya kuvunjika 1977.
c. _ Akiwa Spika alisimamia mkutano mkuu
wa kwanza nchini wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola.
_
Alikuwa Rais wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola 2009.
_
Spika aliyesimamia mabadiliko makubwa ya Kanuni yaliyoimarisha Uhuru na
Demokrasia ya Bunge (2005 – 2010)
4. MTAZAMO BINAFSI
Ni mpenda demokrasia, Mtetezi wa haki
na maslahi ya anaowaongoza, mzalendo asietumia vibaya madaraka anayokabidhiwa,
mtetezi wa maendeleo ya wanawake, wanyonge, walemavu; asiyependa ubaguzi wa
aina yoyote.
MCHAGUE SAMUEL J. SITTA (Mb)
KAZI ZOTE KWA VIWANGO NA KASI
Mzee Sitta Amechukua Fomu mchana huu wa leo na alisindikizwa na Mbunge wa Jimbo la Nzega na mwenyekiti wa TAMISEMI Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla.
Pia Kijana Kiongozi Katibu wa Idara ya Hamasa na Chipukizi Mh. Paul C Makonda.
Watanzania wanatarajia makubwa sana kwa Mzee Sitta kwani kama kauli mbiu yake isemavyo ni "
KAZI ZOTE KWA VIWANGO NA KASI"
Wakwanza kulia ni Mfanyakazi Ofisi ya Katibu Bunge, wapili ni Mh. Hamisi Kigwangalla, watatu ni Mh, Samuel J Sitta akukabidhiwa Form yake yakuingia ktk Kinyang'anyilo cha Kugombea Uwenyekiti wa Bunge. Kisha ni Paul Makonda Mjumbe wa Bunge la Katiba na Katibu wa Hamasa na Chipukizi.
Mzee Sitta akisaini Fomu ofisi ya Katibu Bunge
CHAGUA
JOHN SAMWELI SITTA.
Kwa Bunge la Katiba.

No comments:
Post a Comment