Home » , » SAMUEL J SITTA KUWA MWENYEKITI / SPIKA WA BUNGE LA KATIBA..

SAMUEL J SITTA KUWA MWENYEKITI / SPIKA WA BUNGE LA KATIBA..

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, March 11, 2014 | 5:06 AM



BUNGE LA KATIBA
MWENYEKITI/SPIKA
MCHAGUE
SAMUEL .J.SITTA (Mb)



MHE.SAMUEL J SITTA (Mb).
SPIKA WA BUNGE LA TISA;2005-2010
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
DIRA;
“BUNGE la Katiba lenye mjadala wa kushindanisha hoja kwa hoja, kwa maslahi ya taifa, ili kuwaletea watanzania ndani ya muda  KATIBA maridhawa inayokidhi matarajio ya wengi na inayojenga matumaini yao ya utawala bora na maendeleo endelevu kwa wote


WASIFU WA SAMUEL J.SITTA (Mb)
1.    ELIMU
·         Shahada ya Sheria – LLB(Hons) UDSM 1971
·         Stashahada             -Advanced DIPL in Management IMEDE
                                -USWISI 1976
2.    UONGOZI
                                i.            Ubunge (Urambo Mashariki) Miaka 29;1974-1995,2005 hadi sasa.
                              ii.            Waziri wa wizara ya Ujenzi
§  Ustawishaji Makao makuu na Katiba na Sheria 1978-1995.
§  Waziri Ushirikiano wa Africa Mashariki; 2010 hadi sasa
                            iii.            Mkuu wa Mkoa; 1987- 1993, Iringa na Kilimanjaro.

3.    MAFANIKIO.
a.      – Ujenzi wa Salender Bridge (1980).
_ Uwanja wa Ndege wa J.K.Nyerere, Dar es salaam (1981).
_ Ujenzi wa Daraja la Kirumi – Mara (1982).
_ Ujenzi wa Barabara ya Morogoro – Dodoma (1983).
_ Ujenzi wa Barabara ya Makambako – Songea (1984).

b.      – Sheria zilizoanzisha mashirika ya Reli, Bandari, Ndege, baada ya Jumuiya kuvunjika 1977.
c.       _ Akiwa Spika alisimamia mkutano mkuu wa kwanza nchini wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola.
_ Alikuwa Rais wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola 2009.
_ Spika aliyesimamia mabadiliko makubwa ya Kanuni yaliyoimarisha Uhuru na Demokrasia ya Bunge (2005 – 2010)

4.    MTAZAMO BINAFSI
Ni mpenda demokrasia, Mtetezi wa haki na maslahi ya anaowaongoza, mzalendo asietumia vibaya madaraka anayokabidhiwa, mtetezi wa maendeleo ya wanawake, wanyonge, walemavu; asiyependa ubaguzi wa aina yoyote.

MCHAGUE SAMUEL J. SITTA (Mb)
 
KAZI ZOTE KWA VIWANGO NA KASI

Mzee Sitta Amechukua Fomu mchana huu wa leo na alisindikizwa na Mbunge wa Jimbo la Nzega na mwenyekiti wa TAMISEMI Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla.
Pia Kijana Kiongozi Katibu wa Idara ya Hamasa na Chipukizi Mh. Paul C Makonda.
Watanzania wanatarajia makubwa sana kwa Mzee Sitta kwani kama kauli mbiu yake isemavyo ni " 
KAZI ZOTE KWA VIWANGO NA KASI"
 Wakwanza kulia ni Mfanyakazi Ofisi ya Katibu Bunge, wapili ni Mh. Hamisi Kigwangalla, watatu ni Mh, Samuel J Sitta akukabidhiwa Form yake yakuingia ktk Kinyang'anyilo cha Kugombea Uwenyekiti wa Bunge. Kisha ni Paul Makonda  Mjumbe wa Bunge la Katiba na Katibu wa Hamasa na Chipukizi.
 Mzee Sitta akisaini Fomu ofisi ya Katibu Bunge
 CHAGUA 
JOHN SAMWELI SITTA.
Kwa Bunge la Katiba.
KAZI ZOTE KWA VIWANGO NA KASI
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger