Comredi Mwigulu Nchemba Yuko Kalemga anatema sumu za kuwamaliza wapinzani wa CCM uko jimbo la Kalenga.
Amesema hivi jana.
"Tunachohitaji ni Ushindi wa Kishindo Kalenga,Hii leo 02/03/2014( Jana) kazi
imeendelea kampeni za Kijiji kwa Kijiji,Tumefanya mikutano Vijiji
Vinne(Kibebe,Mwambao,Luparama na Mangalali).
Nashukuru Wanakalenga kwa Mapokezi yenu na namna Mnavyojitokeza kwa Wingi Kwenye Mikutano yetu.
Tar.16/03/2014 tunahitimisha kwa Ushindi wa Kishindo.
UMOJA NI USHINDI"
Nashukuru Wanakalenga kwa Mapokezi yenu na namna Mnavyojitokeza kwa Wingi Kwenye Mikutano yetu.
Tar.16/03/2014 tunahitimisha kwa Ushindi wa Kishindo.
UMOJA NI USHINDI"
Hili ni Nyomi tu la wana kalenga
Mbunge Mtarajiwa Kijana Godfrey Mgimwa akiwa kabebwa juu kwa juu na wanakalenga
Hizi ndio Bunguki za Mwigulu Nchemba huko Jimboni Jana.
Wapinzani apa mnadhani Jembe hili lilikuwa linasemaje apo?
Hizi ni rasha rasha tu za Mapinduzi ya Kalenga
No comments:
Post a Comment