Home » , » Tizama Moto wa Mwigulu Nchemba na Mgimwa uko Kalenga Jana...!!

Tizama Moto wa Mwigulu Nchemba na Mgimwa uko Kalenga Jana...!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, March 2, 2014 | 11:18 PM

Comredi Mwigulu Nchemba Yuko Kalemga anatema sumu za kuwamaliza wapinzani wa CCM uko jimbo la Kalenga.

Amesema hivi jana.
"Tunachohitaji ni Ushindi wa Kishindo Kalenga,Hii leo 02/03/2014( Jana) kazi imeendelea kampeni za Kijiji kwa Kijiji,Tumefanya mikutano Vijiji Vinne(Kibebe,Mwambao,Luparama na Mangalali).
Nashukuru Wanakalenga kwa Mapokezi yenu na namna Mnavyojitokeza kwa Wingi Kwenye Mikutano yetu.
Tar.16/03/2014 tunahitimisha kwa Ushindi wa Kishindo.
UMOJA NI USHINDI"
 Hili ni Nyomi tu la wana kalenga

 Mbunge Mtarajiwa Kijana Godfrey Mgimwa akiwa kabebwa juu kwa juu na wanakalenga
 Hizi ndio Bunguki za Mwigulu Nchemba huko Jimboni Jana.

 Wapinzani apa mnadhani Jembe hili lilikuwa linasemaje apo?
Hizi ni rasha rasha tu za Mapinduzi ya Kalenga
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger