Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala (wa pili kulia) akikagua kambi ya Wagonjwa wa kipindupindu iliyopo hospitali ya Kwamnyamani Buguruni, Jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala akimsalimia mmoja wa wagonjwa wa kipindupindu aliyelazwa kwenye kambi hiyo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala akikagua takataka zilizorundikwa katikati ya barabara ya ndani ya soko la matunda la buguruni.
Katika kuhakikisha kama wafanyabiashara wana uelewa juu ya ugonjwa wa kipindupindu, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala alizungumza na muuza kahawa karibu na mfereji mchafu uliopo sokoni hapo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala akikagua soko la matunda buguruni.(Picha zote na Catherine Sungura-
No comments:
Post a Comment