Home » » Dk. Kigwangala atembelea Kambi ya Wagonjwa wa Kipindupindu ya Kwamnyamani, Pia azuru Soko la Buguruni

Dk. Kigwangala atembelea Kambi ya Wagonjwa wa Kipindupindu ya Kwamnyamani, Pia azuru Soko la Buguruni

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, December 17, 2015 | 1:07 AM


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala (wa pili kulia) akikagua kambi ya Wagonjwa wa kipindupindu iliyopo hospitali ya Kwamnyamani Buguruni, Jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala  akimsalimia mmoja wa wagonjwa wa kipindupindu aliyelazwa kwenye kambi hiyo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala  akikagua takataka zilizorundikwa katikati ya barabara ya ndani ya soko la matunda la buguruni.
Katika kuhakikisha kama wafanyabiashara wana uelewa juu ya ugonjwa wa kipindupindu, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala alizungumza na muuza kahawa karibu na mfereji mchafu uliopo sokoni hapo
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kingwangwala  akikagua soko la matunda buguruni.(Picha zote na Catherine Sungura-
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger