Pages

Tuesday, February 2, 2016

Balozi wa Norway Tanzania utaondoka wewe CCM utaiacha Tanzania.

SALAMU HIZI ZIMFIKIE BAROZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA, ATAONDOKA YEYE CCM ATAIACHA HAPA HAPA

Balozi wa Nowary nchini Tanzania Ms Hanne Marie Kaastard ana bidii na juhudi ya kuhakikisha anasimamia kuona cuf inatawal Zanzibar. Huo ndio msimamo wa nchi yake wa muda mrefu. Haipendi CCM wala haipendi SMZ. Sera za Norway kwa Zanzibar zinajulikana tangu asubuhi. Hastaajabishi kusikia kwamba kaenda ofisi za CUf na kuonana na Mazroui na Jussa. Hili Gazeti lililotoa hii habari nafikiri mwandishi wake anatumika kuweka DRIP za lala salama. kutia hofu na shauku ya kujua nini kimeongelewa. Sisi tunasema hatuna haja ya kujua Perpetrators kama Balozi wa Norway nini kasema au kateta na cuf. Anakuja Zanzibar kila siku na kwenda hadi nyumbani kwa Maalim Seif. Kila siku anaonekana mahotelini seren na hyatt na akina Jussa. lunch, dinner and even for coffee meetings.
Mugabe ameshawapa salam zao juzi. They should shush their mouths kwa issues ya ccm kutawala.
Na sisi tunawaambia Norway na maajent wao wengine hatuhitajii wao waje watuambie nini tufanye. tuna katiba yetu. tuna sheria zetu na tuna uhuru wetu.
Tuna maamuzi yetu, kama mtu kasusa katiba inamruhusu kumpa uhuru wake wa kufanya na kutofanya anachotaka.
Norway na wenzako punguzeni speed kwa Zanzibar, mnalolitaka kwa Zanzibar mumeshalikosa. si mafuta si gesi si political recognition havipo. Yale ya 1995 mlipopata fursa ya kutupanda kichwani sasa ulimwengu umebadilika.
Endeleeeni kuwabeba wapinzani wa ccm kuanzia nyinyi wenyewe kama Ubalozi hapa Tanzania bali hata NGOs zenu feki za Ki Norway mlizoanzisha hapa Tanzania na Zanzibar kwa kisingizio cha kusadia jamii kumbe mna ajenda zenu.
Norway timewashtukia mchana kweupe.
Salaam Tunajua Zitawafika kupitia kwa Daily Paid Vibaraka wenu mliowaweka Zanzibar
Ahsante
Mtandao wa Wa Wanyonge Waliowengi
Zanzibar

No comments:

Post a Comment