Pages

Tuesday, September 27, 2016

Waziri Ummy Mwalimu akutana na Mabarozi wa Nchi Mbalimbali Nchini Tanzania

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu leo amekutana na Mabalozi wa nchi mbalimbali inchini Tanzania akiwemo Balozi wa Italy Roberto Mengoni,Balozi Thami Mseleku wa Afrika ya Kusini pamoja na Balozi wa Ujerumani Egon Kochanke

Balozi wa Afrika ya Kusini Thami Mseleku akiongea na Waziri huyo


Balozi wa Italy nchini Tanzania Roberto  Mengoni(kushoto)akiongea na Waziri Ummy Mwalimu
Waziri Ummy Mwalimu akiongea na Balozi wa Ujerumani Egon Kochanke

No comments:

Post a Comment