Home » » Habari mpasuko....MAANDAMANO UKONGA UKONGA.

Habari mpasuko....MAANDAMANO UKONGA UKONGA.

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, June 12, 2012 | 5:59 AM

Ni wakazi wa ukonga wameandamana na kulala barabarani  wanawake wametandika majamvi road kushinikiza kuwekewa matuta barabarani, cz wananchi hasa watoto wamekuwa wakigingwa kula siku na Gari, inasemekana kuwa kila siku walikuwa wakifa watu wa2, so kuna mgomo mpaka sasa nandika hii habari hapajatokea msaada wowote huko.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger