Spika Mh, Anne Makinda Kaliailisha Bunge saa7 hii kwakuwapongeza wabunge leo, kwautulivu wao walokuwa nao bika uwa na mabishano kama yaliokuwa hapo nyuma.
Aliwaambia Bunge ni Dialogg co malumbano, matusi, kejeli na mano yasiyofaaa, " Bunge la zamani la chama kimoja ndo kulikuwa na kupindana lakini hapa ni vyaama vingi tunapaswa kushindana kwaDialog co malumbano tuu nawapongeza sana wabunge kwa utulivu wenu leo." alisema Anna Makinda.
N adhani itulivu huu umetoke baada ya naibu spika kumtoa Mh, John Myika Mbunge wa Ubungo jana jana.
Post a Comment