Home » » UJIO MPYA WA JI MZEE WA KIDATO KIMOJA....

UJIO MPYA WA JI MZEE WA KIDATO KIMOJA....

Written By peterdafi.blogspot.com on Friday, June 22, 2012 | 8:11 AM

Ni leo asubuhi nimewasiliana na JI akiwa Nairobi anakoishi kwa muda sasa tangu alipoona Bongo kunazingua, JI aliniambia anamipamgo mingi sana na ujio wake niwakishindo.
Kwani JI amekuwa kimya kwa muda mwingi ingawa hapo katikati alitoa nyimbo zake na zakushilikiswa pia hazikufanya vema, alisema anangoma mpya nikamwambia afunguke alisema.......
 ''Ngoma nimefanya peke yangu yaitwa chukua,kiufupi album yangu mpya imekwisha,ambayo yote nirecodia kenya,nimewashilikisha wasanii kama DNA,wayre,ken razy,nazizi na wengineo,pia video nafanya na super star ambao walifanya video ya goldeger ya jack,nategemea kuishoot tar 17 mwezi ujao, ni hivyo tu''
  Lilimuuliza nyimbo umefanya Studio gani na Video utafanya na kampuni gani? na umetumia kiasi gani na unatalajia kutoa kisasi gani ajili ya Video na gharama zingine akajibu.......
''Nimeifanya talent studio,Audio ni granpa rec,talent studio,kay g rec,anwood rec,video com,yaitwa supes star, najisimamia mwenyewe,kuhusu pesa nilizotumia ningumu kujua ni pesa ngapi pengine nikitoka uganda ndio ntakaa chini kujua ni pesa ngapi nimetumia'' 
Hivo ndo tulivomalizana na Mtoto wa Nzega....!!!!
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger