Home » » FIDELINE IRANGA AKALIBISHWA KWAKUIBIWA KILA KITU SOUTH AFRICA....

FIDELINE IRANGA AKALIBISHWA KWAKUIBIWA KILA KITU SOUTH AFRICA....

Written By peterdafi.blogspot.com on Monday, July 2, 2012 | 5:33 AM



Mwanamitindo Fideline Ifanga yuko Africa ya kusini muda kidogo kaenda kwa mambo yake huko, bt Amekalibishwa kwa kuibiwa vitu kabao akiwa amelaa ndani yeye na rafiki zake wawili amabo alinitajia majina yao ni KATE na RATIFA.

 nilimuuliza wameiba nini? akasema "waliiba blackberry cmu 6,nokia 4 na samsung 2,hela dola 900,rand 7000,nguo,perfume kwa kifupi walituingilia hm ucku wa manane,na laptop ya apple na samsung galax tabs."

 Niliendelea kumwuliza kuhusu huo mkasa ilikuwaje mpaka majamaawakaingia nyie mmelalatuuu? alisema jamaa wamekuja full na bunduki sasa dadaako Fideline kuona vyamotoo mama yangu ndo wakamwibia tena ndugu yetu.


Nilitaka anipigie hesabu ya vitu kamili alivyoibiwa bt hakuwa na mood na hakujua total kamili ya hivyo vitu, aliniajibu  "Peter unanichosha unajua nishakuambia thamani ya hela na blackberry touch mbili9900, moja8520 tatu,Nokia nimesahau but ndogo tuu,Apple Laptop unajua bei zake nilihongwa na samsung galax uliza huko bana,perfume kama za dola 300,plus vitu vidogo vidogo nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Kate na Latifa bwana"

 Alisema Fideline nilijikuta namuone huruma nakualilisha kuendelea kuuliza maswali manake nikama kachanganyikiwa hivi.

All i can say to Guys take care popote uendapo na na pole Mdada......
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger