Pia Anafanya kazi WATER AID....
Ni Dada anaejitambua, mwenye misimamo, na anajua wapi anatoka na wapi anakwenda...
Sasa Abella Bateyunga Hapo juu Akipitia Biblia yake kabla ya kuanza kufundisha Darasa GHT leo.
Tafakali
Harris alimkalibisha Abella ili kuanza kufundisha.
Alifundisha UBUNIFU kwa Msanii
Alianza kufundisha kwa umakini san sana.
Kulikuwa naa maswali poa.
Na Dada Abella Alijibu.
Dada Abelle alimaliza kwakuwaaga nakuomba pia.
Dada huyu ni Muislaam Anaitwa Salama Lamadhani anahistoria ndefu sana sana, Nitakuletea hapa hapa. soon.....!!!GHT inaandaa vijana wenye vipaji Tanzania.......
Na leo ilikuwa siku ya mwisho ya mafunzo na Kesho watapokea Vyeti vya kushiliki Mafunzo GHT....
Post a Comment