Home » » TRANSFORMER LAPASUKA KIGAMBONI

TRANSFORMER LAPASUKA KIGAMBONI

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, September 23, 2012 | 10:29 PM

Transformer limepasuka maeneo ya kigamboni Toangoma wilayani Temeke, Transformer hilo lilipasuka jana jioni mida ya saa( Kumi na Mbili) 12 Jioni, Wakazi wa maeneo hayo wamelala bila umeme na mpaka midaa hii naaandika habari hii hakuna mafundi ambao wamefika eneo la tukio so TANESCO wanaombwa kufika huko kwa ajili ya matengenezo ya Mashine hiyo yakuongeza nakupunguza umeme.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger