Home » » WAREMBO NA USAILI WA NYIMBO YA DIAMOND PLATINUMZ ......

WAREMBO NA USAILI WA NYIMBO YA DIAMOND PLATINUMZ ......

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, September 23, 2012 | 7:21 AM


 
Usaili wa video mpya ya Diamond Platnumz uliofanyika leo Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam, wasichana wachache wamejitokeza.
Mmoja wa majaji wa usaili huo Raqey Mohamed wa I-View Media, amesema hakutarajia kuona wavulana kuwa wengi zaidi kuliko wasichana. Manake Boys wamewafunika Mabint kinyaaamaaa...

Inasemekana kuwa  fani ya uigizaji kuwa na sifa mbaya katika jamii, hali inayopelekea wengi kuidharau.

Usaili huo umefanikiwa kwa asilimia 65
Bt ugumu upo pale pakumchagua huyo Main Character wa kuact katika Video hiyo.
  Vijana 250 walijitokeza kwenye usaili huo ambapo wamechagua wavulana 20 na wasichana 20 ili kuchuja wale bora watakaoonekana kwenye video hiyo.
 
Raqey ambaye ataiongoza amesema bado wanashughulikia masuala ya permit na pindi yatakapokalimika video itaanza kufanyika ndani na nje ya nchi ambapo watasafiri na baadhi ya waigizaji akiwemo lead actress.

Raqey amesema bajeti ya video hiyo inafikia milioni 30 hadi 40.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger