Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha),
Juliana Shonza akizungumza baada ya kujiunga na Chama Cha Mapinduzi
kwenye mkutano wa kuwatambulisha wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho
uliofanyika makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma juzi. Picha na
Fidelis Felix
Post a Comment