MP. John Myika
Aliyasema hayo jana katika mkutano mkubwa uliofanyika huko katika kata Goba wilayani kinondoni, Katika mkutano huo yalisemwa mengi ikiwemo na tatizo la maji lilaikabili kata hiyo ya Goba CCM wamesema kuwa Myika hana jipya na tangu kamiliki Jimbo la Ubungo matatizo yamezidi na yeye kuenfelea kupiga kelele zisizo saidia na kulumbana hovyo, so Mpango ni kuliludisha Jimbo hilo mikonono mwa CCM mwaka 2015,
Likizungungumziwa tatizo la Maji Goba CCM imeahidi kuwa maji soon yataanza kutoka na wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu Barabara, Maji mengine mengi.
By.
Katibu wa Chama na Uenezi CCM Mh. Nape Nauye
Post a Comment