Home » » Mwaume amchinja Mkewe kisa Kazi

Mwaume amchinja Mkewe kisa Kazi

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, March 21, 2013 | 11:39 AM

mwanamke.huyo achinjwa na mume wake kisa.kupata kazi katika halmashaur ya wilaya ya kahama.

mume wake alikuwa hataki mkewe afanye kazi yoyote kwahvo baada ya mkewe kupata kazi hyo ndipo ugomvi ukaanza..

usiku wa siku ya tukio walikuwa chumban.akafanikiwa kumchinja.mkewe na kukimbia.

mwanaume huyo ni.muuza nyama ya ng'ombe huko kahama..

muuaji amekamatwa

Share this article :

Post a Comment

Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger