Home » » Show ya Miss Tourism Taifa Talent.....!!!

Show ya Miss Tourism Taifa Talent.....!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Tuesday, March 12, 2013 | 4:33 AM

Mashindano yakumtafuta Miss Tourism Talented Taifa yalifanyika Jumamosi Tarehe 0/03/2013 Huko Mbagala Dar Live.
Mshindi huyu aliepatikana hapo anaenda kukukata na wenzake wa5 wa east SAfrica na kwenda ktk Mashindano ya Miss Tourism Talent Dunia.
Show ilianza kwa parfomance ya msanii

 Show iliandaliwa sana

 Jamaa alikuwa yuko vizuri sana kwa kupagawisha mashabiki







 Majaji wa tatu kuanzia kushoto, watatu ni Jaji Peter Dafi wa nne ni Gideoni Chipungaelo muandaaji wa mashindano ya Miss Tourism Taifa na Wasita ni Mstahiki meya wa Manispaa ya Temeke ambae alikuwa mmgeni Rasmi siku hiyo.


Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger