NGUMI NI MCHEZO KAMA MICHEZO MENGINE
Maneno haya yamesema na mdau ibrahim kamwe 'bigright'. 
alisema hivi nanukuu......
"Ajali katika michezo ni sehemu ya mchezo wenyewe ni kuwafanya wengine walio salama katika sakata hilo waendelee kimakini zaidi.
nimeandika hii kwa kumpinga mwandishi alieandika kuwa ngumi ni mchezo wa hatari na kuonesha baadhi ya mabondia wakitokwa na damu.
mimi ibrahim kamwe 'bigright' nasema ngumi ni mchezo wa kawaida kama michezo mengine na ikitokea kama bondia kaumia basi ujue ni bahati mbaya au ni ajali za kimichezo ambazo mwanamichezo yoyote yaweza mkuta aidha kwa bahati mbaya au kwa uzembe wake mchezoni."