Home » » BREAKING NEWS..; Mlipuko watokea ARUSHA katika Kanisa Catholic parokia ya Olasit.....!!!

BREAKING NEWS..; Mlipuko watokea ARUSHA katika Kanisa Catholic parokia ya Olasit.....!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Sunday, May 5, 2013 | 2:10 AM

Hali inakuwa tete katika nchi yetu Kanisani Parokia ya Olasit kumetokea mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejruhiwa inasikitisha.

Source: Radio Maria

======

View PostQuote By Earthmover
Ukiwa Arusha tune FM 106.70

Nukuu kutoka Redio Maria

....watu wengi wamejeruhiwa miguu

......ni mlipuko

.....Olasiti Arusha

...kitu kilirushwa au kutokea chini kwenye moramu iliyo mwagwa....

....kuna watu wanahisiwa kuja eneo la tukio kwa gari na kurusha hiko kitu na kukimbia kutokomea na gari...maelezo ya mtoto mdogo anaye sadikiwa kuona watuhumiwa....

...watoto wengi na kina mama wamejeruhiwa....
Quote By Ciril View Post
Kilikuwa ni kigango wakristo wakajichanga na kujenga kanisa kubwa na palikuwa na ugeni(balozi)kutoka Vatican alikuja kuzindua kama mgeni rasmi,majeruhi ni wengi ila vifo bado havijathibitishwa mpaka sasa hivi.Ni eneo la Olasiti kwa wakaazi wa Arusha au wanaoifahamu Arusha,radio Maria wanatoa taarifa kila mara.
 
Chanzo Jamii Forum
Share this article :

+ comments + 1 comments

May 5, 2013 at 3:20 AM

UPDATES......!!!!
Nimepokea taarifa kuwa kuna Mama Mmoja amefariki ktk Mlipuko huo na haijajulikana jina lake na anapotokea pia,
Lakini kuna taarifa kuwa Kuna Mtoto aliepoteza uhai lakini sio taarfa lasmi.

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger