Home » , » Changia Rambirambi yako kwa Msiba wa ALBERT MANGWEA Hiviii........!!!!!!!

Changia Rambirambi yako kwa Msiba wa ALBERT MANGWEA Hiviii........!!!!!!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, May 30, 2013 | 8:12 PM

Jinsi ya kuchangia Pesa kwa ajili ya kufanikisha mazishi ya Albert Mangwea:

Marehemu  Albert Mangwea:
Kwa yeyote uliyeguswa na msiba wa msanii,ndugu yetu Albert Mangwea unaweza kuchangia pesa kufanikisha mazishi kwa kutuma chochote ulichonacho kupitia hii ACC:NMB 2012505840 ambayo ni ya kaka yake anayeitwa Mangwea Keneth.Tigo Pesa 0717 553 905.M PESA 0754 967 738 zote ni za kaka wa marehemu.Msiba uko Mbezi Beach Goig Dar
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger