Home » » Moze Radio na Weasel TV kutoka Uganda LIVE on Black Entertainment Television (BET) Awards 2013

Moze Radio na Weasel TV kutoka Uganda LIVE on Black Entertainment Television (BET) Awards 2013

Written By peterdafi.blogspot.com on Wednesday, May 15, 2013 | 1:13 AM

Wanakundi La The Goodlyfe Crew Moze Radio na Weasel TV kutoka Uganda wamechaguliwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya "Best International Act-Africa" mwaka huu kwenye Black Entertainment Television (BET) Awards 2013. Tamasha la kutoa tuzo hizo litafanyika Nokia Theatre mji wa Los Angeles June 30, 2013.
Habari mpya na za kufurahisha ni kuwa wanakundi wa The Goodlyfe Crew Moze Radio na Weasel TV kutoka Uganda wamechaguliwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya "Best International Act-Africa" mwaka huu kwenye Black Entertainment Television (BET) Awards 2013. Tamasha la kutoa tuzo hizo litafanyika Nokia Theatre mji wa Los Angeles June 30, 2013.




 
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger