Home » , , » Mwili wa Albert Mangwea kuangwa leo...!!

Mwili wa Albert Mangwea kuangwa leo...!!

Written By peterdafi.blogspot.com on Saturday, June 1, 2013 | 12:20 AM

"Msanii M To The P aliyekuwa na marehemu Albert Mangwea, M To The P anaendelea vizuri na matibabu kama anavyoonekana kwenye picha hospitalini Helen Joseph huko Afrika ya Kusini. Ilikuwa mwili wa marehemu Ngwair ufike leo Jumamosi 1/6/2013 lakini Watanzania wanaoishi Afrika Kusini wameomba wapate nao nafasi ya kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwair, Mwili wa marehemu utakuja Jumapili 2/6/2013 utaagwa Jumatatu 3/6/2013 na marehemu atazikwa Jumanne 4/6/2013 huko Morogoro..Endelea
kufatilia www.peterdafi.blogspot.com kwa habari zaidi.
 Kwa hisani ya Millardayo.com
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger