Chama
Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA-Mkoani Mbeya kimeendelea kupata
pigo baada ya Katibu wa Mbunge pamoja na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa
Ndani ya Chama hicho Ndugu EDDO MWAMALA kujiuzulu uanachama wa Chama
hicho.
Moja
ya sababu iliyomfanya ajiuzulu MWAMALA ni kutokuwepo kwa mgawanyo
sahihi wa Rasilimali za CHADEMA pamoja na kutokuwepo kwa uhuru wa baadhi
ya Viongozi wa chini kuhoji juu ya Mstakabali wa Chama hicho.
No comments:
Post a Comment