Wakuu hii hapa chini ni video ikimuonyesha Mh Ole Medeye
(mmasai) akiendesha kikao cha kuratibu angamizo dhidi ya kabila la
Wachaga katika nyanja za siasa nchini,
Kikao hiki kiliandaliwa na Mbunge wa Monduli ndugu Edward Lowasa,
Naaam Mh Lema alifanikiwa kupenyeza vijana wa kazi wakaweza kurekodi kikao hicho,
NB
Lugha iliyotumiwa ni kimasai, hivyo omba wakalimani wakusaisie,
Au wafuasi wa Lowasa kama Pasco wanaweza kuwasaidia kutafsiri
Chanzo:- JF
No comments:
Post a Comment