Jifunze Mambo 5 yanayoweza ku Dhuru Ubongo wako.
Mambo 5 yanayoweza ku Dhuru Ubongo wako.
Kukosa Kifungua Kinywa asubuhi
Watu wanaokosa kifungua kinywa asubuhi wanapata upungufu wa kiwango cha
sukari kwenye damu. Hii husababisha upungufu wa madini (nutrients)
kwenye ubongo na hatimaye ubongo hudhoofika.
Kula kupita kiasi:
Inasababisha kukaza kwa misuli au mishipa ya Ubongo na hatimaye hupelekea kudhoofika kwa mfumo wa
fahamu.
Kuvuta Sigara:
Kwenye sigara kuna kitu kinaitwa Nikotini ambayo ndani yake kuna
chembechembe ambazo zina sababisha makunyanzi kwenye ubongo na kisha
kudhoofu.
Kutumia Sukari nyingi:
Matumizi ya sukari nyingi husababisha matatizo katika mfumo wa unyonyaji
wa Protini na Madini joto mwilini na kusababisha ugonjwa wa Utapiamlo
ambao pia huingilia mfumo wa fahamu
Kuvuta Hewa chafu:
Ubongo ndio mtumiaji mkubwa wa Oxijeni tunayo ivuta. Unapovuta hewa
chafu unapunguza mgawo wa Oxijeni kwenye Ubongo na hatimaye kupunguza
ufanisi wake
Post a Comment