"Baada ya M/kiti kutangaza simu imepotea bungeni,
Muda huu Paul Makonda yupo hapa chumba
cha ulinzi na usalama kwa mahojiano kwa madai kuwa amefatana ktk ukaaji
na Bi.Rehema alieporwa simu na wakati Rehema ameacha simu na kwenda nje
alikuta simu haipo na makonda hayupo
Pia yupo Rehema alieporwa simu aina ya Nokia Lumia
Huu utakuwa mchezo wa EL kumchafua Comredi wetu
More updates zitawajia"
(Habari hii imeandikwa kwa Mara ya Kwanza JF. NIKAAMUA KUIFANYIA KAZI KAMA IFUATAVYO HAPA........!!!)
NB:
Nimempigia Msaidizi wake Paul Makonda huko Dodoma, na Amekanusha kutokuwepo kwa Tukio hilo dhidi ya Makonda.
Kisha.....
Nimewasiliana na Makonda ikawa hivi...!!
Swali:- Makonda habari za kazi kaka? pole na Majukumu!
Nasikia Umeenda Kuiba Simu badala ya Kufanya kilichokupeleka Dodoma Kaka, Nasikia Umeiba Sim Bungeni ya Mjumbe Mwenzako?
Makonda:- Duuuu....!! Majungu haya Kiboko. Sijaiba simu wala sijasachiwa popote pale wala kushutumiwa kwa wizi wa Simu na siwezi kuiba simu.
Swali:- Kwa hiyo unasingiziwa Kaka.?
Makonda:- Hawatuwezi Kaka watakwama tu. Waambie wameshindwa kwa uzushi huo....!!
Post a Comment