Huu hapa ubunifu wa usafiri rahisi kwa huduma ya afya, yaani kusafirishia mgonjwa kutoka eneo moja kwenda jingine kwaajili ya kupata matibabu. Made in Mwanza. |
Ni pikipiki za miguu mitatu zenye double tyre kwa nyuma ikiwa ni kwa ajili ya usalama zikiwa katika hatua za mwisho kukamilika katika moja ya karakana zilizopo Ghana wilayani Ilemela mkoani Mwanza. |
Nyuma kwa ndani kushoto ni kiti cha mhudumu wa afya na msindikizaji pamoja na kitanda kwaajili ya mgonjwa (kulia). |
Post a Comment