Paul C. Makonda ni Mjumbe wa Bunge la Katiba na Katibu wa hamasa na Chipukizi Taifa, aliapa asubuh na mapema mbele ya Makamo mwenyekiti wa Bunge la Katiba.
Hapa Paul C. Makonda akipokea Fomu ya Kujaza Kiapo na Kanuni ya Bunge Maalum la katiba.
Makonda alienda mpaka ktk sehemu yake na kuanza kujaza kama sio kutia sahihi katika Fomu hiyo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU LIBARIKI BUNGE LA KATIBA NA WAJUMBE WAKE WAFANYE KAZI KWA BIDII NA UHAKIKA ZAIDI, WAKIWA NA AFYA TELE NA UFAHAMU WAKUTOSHA BILA KUSAHAU HEKIMA NA BUSARA.
Post a Comment