Leo kasema haya.....!
"Wiki iliyopita ilikuwa 'nyeusi' sana kwangu. Mama yangu mzazi alifanyiwa operation ika-complicate, akalazimika kupelekwa Bugando, ambako amepasuliwa upya! Nikanusurika kuuawa, nikaambulia kuswekwa ndani. Leo nimefikishwa mahakamani kwa makosa ambayo sikutenda na wanajua sikutenda! Mama ameanza mazoezi leo. Ninawashukuru sana ndg wote kwa kuwa nami, kunifariji na kunitia moyo, ahsanteni! Kazi ndiyo kwanza inaanza."
Post a Comment