Home » » hk

hk

Written By peterdafi.blogspot.com on Thursday, April 10, 2014 | 11:24 AM



 Kigwangalla alikatisha safari Australia kuja kuona wananchi wanahali mbaya ya kuvamiwa na kufukiwa mashimo yao ya Kuchimbia madini, Lakini ,Mama pia aliugua Gafla na Kulazwa Kisha kupasuliwa Kidole Tumbo. hapa alipitia Igunga Hospital kumuona Mama.
 Kitandani ni MAMA Kigwangalla, Mwisho  ni Dk Hamisi Kigwangalla, Kati ni Mama Ndogo wa HK Mama Lumola, Mwanzo Apa ni Blogger Peter Dafi.
 Siku yapili ilikucha na Kukutana na Huyu Kamanda wa Chama Green Gard Mpambanaji sana wa Jombo la Nzega.
 Mwanzo ni Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Nzega Katibu, na Makamanda wa Chama na Green Gard.
 Hawa ni wazee wa BBC kijiwe cha limoja maarufu sana pale Nzega waliwahi mapema kwa Mbunge ili kuelekea Mkutanoni Huko Nzega Ndogo.
 Baada ya Kusubili pale Nje Mbunge Kigwangalla alitoka na kusalimiana na wazee pale kisha kupanga mipango sawa, Akichelewa kwa Kuzungumza na Mawaziri wakuu kuhusu swala la Migogoro hiyo.
 Makamanda
 Huyu ni Mzee wa Kinyaturu anaitwa Mzee Ally Makini sana
 Safari ya Kuelekea Mkutanoni kwa Miguu Kizalendo zaidi
 Kabla ya Mkutano wa Hadhara na wachimbajin kulikuwa na Kikao na Viongozi wote.
 Basi hapa Kamanda HK Alikuwa anaingia Viwanja vya Mkutano vilivyokuwa Shule ya Msingi Nzega Ndigo.
 Alipokelewa na Mabando yenye Jumbe mbali mbali za Malalamiko na Kuhamasisha pia Kuonya.
 Yule Kamanda alikuwa Mbele kwa kuongoza msafara
 Unaweza ona Vijana walivyo na Mzuka wakufikisha ujumbe kwa Umma
 Baadhi ya Mabango yalibandikwa ktk Miti Mbele ya Meza Kuu ili Ujumbe ufike haraka.
 Hatimae HK Alianza kuzungumza na wananchi na wachimbaji wadogowadogo
 Mama huyu anafanya biashara nanimchimbaji pia Mdogomdogo pale Mwanshina.
 Mabango yanajumbe mbali mbali
 Palikuwa na Nyomi lakutosha sana
 Mbunge akiongea na kutoa Hamasa na Matumainin kwa Wananchin wake.
 Kweli Mabango haya Jumbe zake ziko Makini sana
 Basi Jumbe zile zilizidi kumfanya HK kufunguka kwa Kusema na kufanya zaidi kwa kusaidia Wananchi wake.
 Waandishi pia walikuwepo wakutosha tu.
 Sema baba semaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 Baada ya Mkutano kuisha wa Nzega Ndogo safari ya kuelekea Mwanshina ilianza kwa kasi ya ajabu.
 Akitembea na Wananchi na Gari ikifuata kwa Nyuma huu jni Uzalendo tu kwa Wabunge wachache sana kwani aliona huruma kwa wanachi watembee na yeye akiwa juu ya gari hii si sawa, safari ya zaidi ya 10KM.
 Mzuka ulipanda na watu wakaanza kuimba na kumsifiaq Mbunge wao Makini sana.
 Tizama Kijana huyu Makini anaona Tumaini kupitia Mbunge wake.

 kIGWANGALLA jEMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE JEMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE..........!!!!
Hiyo ni Nyimbo ilokuwa ikiimbwa hapo.
 Twende twendeeeeeeee Kaka Twendeeeeee tukalikomboe Jimbo hili.
 Watu walikuwa wengi sana
 Vijana wengi wanaitaji kusaidiwa
 Mbunge alikuwa katikati ya watu baada ya Raia kumzunguka sana na kumuimbia nyimbo za kumsifu kwa uchapa kazi wake Bora.
 Wakina Mama pia hawakukosa ktk Hii safari ya Kilometa 10.
 Ilifikia kipindi Mwendo ulikuwa ni Kusenselema / kukimbia kimbia kwa mwendo ndogo.
 Hapa Gari ya Mbunge walipoiona walidai izimwe na waisukume kwani hawataki gari itumie mafuta wao wapo.

 Mzuka uliwapanda tulipofika Isunga Ngwanda wakaona Gari inavumbi waliiosha Gari kwa Bia mpaka ikatakata uku inasukumwa.
 Vijana hawa ni wachimbaji wadogo wadogo wa Mwanshina.
 Gari ilipong'aa walishangilia sana na safari ikaendelea kuelekea Mwanshina.
Baada ya Safari hii Tulifika sehemu Moja iitwayo Mkwajuni risasi na Mabomu zilianza kulindima na kutulenga sisi.

 Gari hii ilimbebe Mbunge HK kutoka Lusu mpaka Kituo cha Police Nzega Mjini.
 Alikuwa kaa Siti ya Mbele akiwa Katikati Pembeni dereva na Pembeni Askari
 Walikuwa wanatembea Mwendo wa Kasi sana na Gari ikiwa imewasha Taa.
 Alishushwa kituoni na Kuongozwa Lango Kuu la Kituo cha Police cha Wilaya ya Nzega
 Unaweza Muona akiwa HK anaingia Ndani na Hawa Askari Nyuma yake wakimfuata, Huyu wa Tatu ni Kijana Aliepigwa Risasi Kichwani, Kichwani
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. peterdafi - All Rights Reserved
Template Created by Eddie Sucre Published by Bongoclanblog
Proudly powered by Blogger